1. Iwe imetengwa vizuri maeneo ya kuimba na maeneo ya kupumzika.
2. Iwe imefanyiwa mastering sahihi, isiwe imezidi sana (over compressed) au imepungua zaidi.
3. Isiwe na vinanda vikali maeneo ya kuimba kuepusha sauti kukosa chumba cha kukaa
4. Iwe na vifaa vizuri na vilivyopigwa kiusahihi bila makosa ya timing Wala off note
5. Iwe imefanyiwa mixing nzuri isiyoathiri mixing ya vocals
Barikiwa sana By Prod Robby
