SIFA ZA BITI INAYOFAA KUTUMIKA STUDIO

1. Iwe imetengwa vizuri maeneo ya kuimba na maeneo ya kupumzika. 2. Iwe imefanyiwa mastering sahihi, isiwe imezidi sana (over compressed) au imepungua zaidi. 3. Isiwe na vinanda vikali maeneo ya kuimba kuepusha sauti kukosa chumba cha kukaa 4. Iwe na vifaa vizuri na vilivyopigwa kiusahihi bila makosa ya timing Wala off note 5. IweContinue reading “SIFA ZA BITI INAYOFAA KUTUMIKA STUDIO”

Design a site like this with WordPress.com
Get started